
Msanii mkongwe anaewakilisha jiji la tanga ambae pia alikuwa mwenyeji wa fiesta jipanguse mkoani tanga, Dr John ametangaza rasmi kuvunjika kwa kundi la wagosi wa kaya ikiwa na wasanii wawili yeye pamoja na mkoloni lililokuwa likifanya vizuri miaka ya nyuma.
Dr john amesema sababu hasa za kujitoa katika kundi hilo ni kuwa limekua likeendeshwa kipuuzi puuzi bila kuwepo na ushirikiano kabla ya chochote kufanyika na kwasasa anaangalia mambo mengine ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kuinua wasanii chipkizi wa tanga akiwemo mwanae anaitwa Josephine "phine".
aidha akaendelea kusema kuwa urafiki wake na mkoloni bado uko pale pale lakini sio kwenye kazi.
No comments:
Post a Comment