Thursday, August 19, 2010

C PWAAAA AANIKA VITU 25 USIVYOVIJUA KUHUSU YEYE


CPWA AKIWA NA WAZAZI WAKE


PICHANI NI CPWAA ENZI ZAKEE






Real name Ilunga Khalifa Born in 1982, March 2nd, mtoto wa kipekee wa Sophia Ali na Khalifa Juma.Mama Msukuma, Baba Mrangi.

Nilianza mziki toka mwaka 1995 nikiwa naimba kwa lugha ya kiingereza tuu! My biggest role model then were Kriss kross, N.W.A, Cypress Hill, Guru, Wu-Tang Clan, House of Pain,MC Hammer, Michael Jackson, Vanilla Ice,Shaba ranks, Sade,Salt n paper,Tribe called Quest,Nas, Jeru da maja, and Boot Camp click .
Nilikuwa bingwa wa Rap kanda ya kusini mwaka 1999 nikashinda zawadi ya TSH 30,000 pale ukumbi wa NBC Mbeya chini ya TBL. Balozi wa Sprite na Cowbell milk mwaka 1998-1999 Mbeya.
Nilimaliza na kufaulu Mbeya secondary School ( Mbeya day) kwa division 1. Mwaka 1999 kutoka darasa la Science 1.
Nishawahi kupokea kichapo kutoka kw PINA wa KIKOSI CHA MIZINGA ( sababu=Confidential) na leo ni washkaji na tunaishi sehemu moja, Block 41.
kujua zingine tembelea www.cpwa.blogspot.com

No comments:

Post a Comment