Andrew George Mwaijibe anayetokea kwenye nyumba ya vipaji (THT), anayekuja kwa kasi sana kila kukicha katika medali ya muzik wa kizazi kipya. Namzungumzia mtu mzima anayesumbua sana na hit song yake aliyofanya na Mh. Temba[Jinsi alivyo]. Andrew mwenye uwezo wakupiga vyombo mbalimbali vya mziki, mwenye voco kali na pia anasema yeye anaonekana vizuri kisanii.Anaplan ya kudondosha album soon inayoitwa NIPE NAFASI, itakayokuwa na nyimbo 10 huku video ya Jinsi Alivyo ikiwa on da plate an kabla hata awja nunua ablum. Andrew amefanya video na Kampun ya Visul Lab
Tuesday, June 23, 2009
Subscribe to:
Posts (Atom)